Change Language: English

Maandiko

Distortions of Ashura (21)

Siku ambayo ilishuhudia moja ya mihanga adhimu sana na mikubwa ya wanadamu katika kumbukumbu za kihistoria za kila mwaka. Siku ambayo Imam Hussein (amani iwe juu yake), mjukuu wa pili wa Mtukufu Mtume (s.a.w.w.) – kupitia kwa Bibi Mtukufu...

Utaratibu makini (Formula) wa Imamu Husein (a.s)

Imamu Husein (a.s) aliandika: “Siondoki (Madina) kama muasi, mkandamizaji na mchupa mipaka, bali madhumuni yangu ni kuutemgeneza Umma wa babu yangu. Njia pekee ya kufanya mageuzi haya ni kwa Kuamrisha Mema na Kukataza Maovu . Nataka...

Ni nini kinacholeta uhai kwa jamii zilizokufa?

Sasa hebu tuangalie kile kilichotokea Karbala na katika siku ya Ashura. Lakini kwanza weka kando mitazamo na uelewaji wako wa Karbala katika pembe moja ya akili yako. Sisemi uitupilie mbali, weka tu kando picha ambayo umekwishaichora juu ya...

Sababu ya kifo cha kijamii

Mtukufu Mtume (saw) ametaja sababu ya kifo cha jamii. Jamii hufariki wakati majukumu ya kuamrisha mema na kukataza maovu hayatekelezwi. Wakati kila mtu anahusika tu na masilahi yake binafsi na hajali kuhusu wengine na jamii, basi jukumu hili...

Je, tufanye nini wakati Umma unapokuwa mfu?

Basi yatupasa kufanya nini wakati jamii ikifa? Je, tuiche jamii hii na kwenda kwenye jamii fulani nyingine iliyokufa? Leo (kwa mfano) wanasema kwamba hali katika Pakistan sio nzuri na hivyo wanashauri aina mbili za ufumbuzi; moja ni kuhama,...

Mfano wa Jamii iliyokufa

Wale ambao wameishi vijijini au kukaa kwa muda kidogo vijijini, watakuwa wameona wanyama waliokufa. Wakati mnyama fulani kama ng’ombe akifa kijijini watu huchukua mzoga ule wa ng’ombe na kuutupa nje ya kijiji. Baada ya siku kidogo mzoga wa mnyama...

Aina tatu za Kifo na Maisha

Imetajwa katika hadithi kwamba kila mtu hufa aina tatu za vifo na dhidi ya vifo hivi vitatu mwanadamu huishi aina tatu za maisha. Mwanadamu lazima aishi aina zote tatu za maisha kwa wakati mmoja ili kuchukuliwa kama anayeishi na kama akifa vifo...

Ukweli wa Maisha na Kifo

Falsafa ya Kifo cha ki-Shahidi kama ilivyotajwa katika maneno ya kiungu na Qur’ani Tukufu ambayo Maasumin Watukufu (as) wametafsiri na kuielezea kwetu katika uhalisia ni Falsafa ya dini na Uislamu. Mwanadamu ambaye anaweza kuelewa uhalisia wa...

Taamuli katika Ziara ya Arubaini ya Imam Hussein AS (6)

Assalam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki maalumu cha Majlisi za siku ya Arubaini ambacho hufanyika kila mwaka baada ya kupita siku Arubaini tangu tarehe 10 mwezi wa Muharram kwa ajili ya kukumbuka mauaji...

Arubaini Katika Maneno ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu (5)

Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Karibuni wapenzi wasikilizaji katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa Arubaini ya Imam Hussein (AS) ambapo leo tutazungumzia kauli na maneno ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya...

1 2 3 4 5 6 7 8 9