Change Language: English

Maandiko

Chanzo cha utakfiri katika ulimwengu wa Kiislamu

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi hivi vinavyoangazia macho chimbuko la makundi yenye kuwakufurisha Waislamu wengine na kutekeleza jinai na mauaji ya kutisha dhidi yao hii leo ikiwa...

Mafundisho ya Imam Hussein AS (6)

Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh. Karibuni wapenzi wasikilizaji kuwa nasi tena katika mfululizo mwengine wa kipindi hiki maalumu cha Mafundisho ya Imam Hussein (as) kinachozungumzia falsafa na malengo ya harakati na mapambano ya...

Mafundisho ya Imam Hussein AS (5)

Tunakutana tena katika sehemu nyingine ya makala hii maalumu ya Mafundisho ya Imam Hussein AS, ambayo inakujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mapambano ya mjukuu wa Mtume SAW, Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib AS ambaye alisimama na wafuasi...

Mafundisho ya Imam Hussein AS (4)

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo inakujieni katika siku hizi za msiba mkubwa, siku za kukumbuka kuuawa shahidi Mjukuu wa Mtume SAW, Imam Hussein AS na wafuasi wake 72 Siku ya Ashura katika jangwa la...

Mafundisho ya Imam Hussein AS (3)

Miongoni mwa sifa bora na za kuvutia za mwanadamu ni sifa ya ukarimu na kutenda wema. Katika utamaduni wa Qur'ani Tukufu ukarimu na mtu kutoa alichonacho kwa wasiojiweza, hisani na kusaidia waliodhulumiwa na kukandamizwa ni kielelezo cha...

Mafundisho ya Imam Hussein AS (2)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Mpenzi msikilizaji tunaendelea kukuleteeni mfululizo wa makala hizi za Mafundisho ya Imam Husain AS ambao ni maalumu kwa ajili ya mwezi huu mtukufu wa Muharram kwa ajili ya kuzungumzia mapambano ya Imam Husain AS...

Mafundisho ya Imam Hussein AS (1)

Daima kumekuwepo na swali hili kwamba je, ni nini hasa lengo la mapambano ya Imam Hussein (as)? Je, lengo lake lilikuwa ni kuchukua utawala au lilikuwa ni kuleta mabadiliko na marekebisho kwenye jamii ya Kiislamu? Je, Imam (as) hangeweza kutumia...

Mawaidha ya Muharram na Sheikh Khamis Awadh wa Tanga Tanzania

Tukiwa ndio tunaingia tena kwenye mwezi mtukufu wa Muharram, hapa tumekuandalieni mawaidha maalumu ya mwezi huo mtukufu kutoka kwa Sheikh Khamis Awadh Mussa wa Hawza ya al Qaim ya mkoani Tanga Tanzania, tukiwa na matumaini...

Mawaidha ya Muharram na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania (5)

Tukiwa ndio tunaingia tena kwenye mwezi mtukufu wa Muharram, hapa tumekuwekeeni mfululizo wa mawaidha maalumu ya Muharram kama yanavyotolewa na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania, hii ikiwa ni sehemu ya tano ya...

Mawaidha ya Muharram na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania (4)

Tukiwa ndio tunaingia tena kwenye mwezi mtukufu wa Muharram, hapa tumekuwekeeni mfululizo wa mawaidha maalumu ya Muharram kama yanavyotolewa na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania, hii ikiwa ni sehemu ya nne ya...

1 2 3 4 5 6 7 8 9