Change Language: English

Kuhusu ImamuHusein.com

ImamHusein.com ni tovuti ya lugha mbili, yenye maandiko katika lugha ya Kiswahili na Kiingereza, kwa heshima na utambuzi wa Imamu Husein (as) mjukuu wa Mtume wa mwisho Muhammad (s.a.w.w), amani iwe juu yake na kizazi chake kitakatifu. Lengo lake ni kuwa njia ya kutafiti zaidi na kubadilika kutokana na ukubwa wa mtu mtukufu huyu na ukubwa wa kujitoa kwake muhanga katika nchi tambarare ya Karbala miaka 1400 iliyopita.