Change Language: English

Maandiko

TUKIO LA ASHURA NA SABABU ZAKE

Katika mwaka wa 41 H., Muawiya alichukua madaraka kwa kutumia njia za rushwa, umwagaji damu, vitisho na udanganyifu. Imam Hasan (a) baada ya kuwa khalifa kwa miezi sita tu baada ya baba yake, alilazimika kumuachia Muawiya madaraka kwa...

Ukweli kuhusu fungaYa Siku ya Ashura

Historia ya Uislamu iliingia doa na majonzi pindi mjukuu wa Mtume (s), Imam Husayn (a) ambaye ni sahaba na kipenzi cha Mtume (s) aliyesifika kwa sifa za ukamilifu na utukufu, mrithi wa Mtume (s) kwa hulka na tabia, akiwa na pote la watu 72 tu...

Karbala na Mlolongo wa matukio

Ni rahisi mno kwa mtu yeyote kuandika kuhusu tukio ambalo analiona au kusoma au kusikia kuhusu tukio hilo, hasa kama kuna uwezekano wa tukio hilo kushika nafasi wakati wowote au popote. Na taarifa kuhusu tukio hilo na wahusika katika tukio...

ASHURA:SIKU YA HUZUNI KUBWA NA ZINDUKO KWA UISLAMU WA SHI’A

Mtu amesimama peke yake katika jangwa, akiwa amebeba kichanga chake cha kiume kifuani. Wafuasi wake, ndugu yake na watoto wake wa kiume wote sasa wamekufa, isipokuwa mwanawe mkubwa ambaye amalala kwenye hema lao lililopasuliwa akiwa...

Mapambano ya Imamu Husein

Kuwa na Kukumbuka ya Arubaini ya Imam Hussein (as) ni fursa nzuri ya kutafakari kuhusu malengo ya mapambano ya mtukufu huyo na masahaba zake. Ushahidi wa kihistoria unaonyesha kuwa mapambano ya Imam Hussein (as) ni miongoni mwa...

Ashura Shahada ya Imam Husayn Mtazamo wa Kihistoria

Hii ni kumbukumbu ya kujitolea mhanga na kuu­liwa kwa Imam Husayn na takriban jamii yote ya Mtume Muhammad (s.a.w.w) katika kuinusuru dini na kuitetea haki dhidi ya hao walowezi na wapi­nzani wa dini, na kuregesha mwito ule ule wa...

Imam Hussein AS alihuisha Uislamu

Katika historia ya jamii ya mwanaadamu maisha yamekuwa yakiendelea na kuandamana na matukio mbali mbali. Ni wazi kuwa baadhi ya matukio ya zama tofauti si tu kuwa hayawezi kufutika bali pia hubakia na kung'ara katika kursa za historia na...

Pamoja na Imam Hussein (AS), kutoka Madina hadi Karbala (3)

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika sehemu nyingine ya makala maalumu ya Mwezi wa Muharram ambapo leo tutaendelea kuangazia baadhi ya maneno aliyoyasema Imam Hussein AS akiwa Makka na katika njia ya Madina...

Chini ya Ujenzi

Bado tunaendelea kuweka habari kwa tovuti hii. Tafadhali angalia nyuma hivi karibuni.

1 2 3 4 5 6 7 8 9