Change Language: English

Maandiko

IMAM HUSEIN (AS) NA HARAKATI ZAKE ZA AMANI

"Enyi mlioamini! Ingieni katika usalama nyote, wala msifuate nyayo za Shetani. Kwa hakika yeye kwenu ni adui aliye wazi." (Surat al-Baqarah: 208) . Utamaduni wa Amani na Utamaduni wa Mabavu: Mwanadamu kwa kuzingatia kuwa...

Mchango wa Wanawake katika Hamasa ya 'Ashura

Bismillahir Rahmanir Rahim. Karibuni wapenzi wasikilizaji katika sehemu ya kwanza ya makala hii inayozungumzia mchango wa wanawake katika hamasa wa 'Ashura. Mwezi wa Muharram mwaka 61 Hijria ulipambika kwa mapambano ya kishujaa ya Imam...

Imam Hussein AS alihuisha Uislamu

Katika historia ya jamii ya mwanaadamu maisha yamekuwa yakiendelea na kuandamana na matukio mbali mbali. Ni wazi kuwa baadhi ya matukio ya zama tofauti si tu kuwa hayawezi kufutika bali pia hubakia na kung'ara katika kursa za historia na...

Pamoja na Imam Hussein AS, kutoka Madina hadi Karbala

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika sehemu nyingine ya makala maalumu ya Mwezi wa Muharram ambapo leo tutaendelea kuangazia baadhi ya maneno aliyoyasema Imam Hussein AS akiwa Makka na katika njia ya...

NI BAYANA KAMA ANGA

Utangulizi: Wamesema kuhusu Husein Ni rahisi mno kwa mtu yeyote kuandika kuhusu tukio ambalo analiona au kusoma au kusikia kuhusu tukio hilo, hasa kama kuna uwezekano wa tukio hilo kushika nafasi wakati wowote na popote. Na taarifa kuhusu...

SIKU YA ASHURAA

“Sema: kwa haya siwaombi malipo yoyote kwenu isipokuwa mapenzi kwa walionikurubia.”(42:23) Masahaba waliuliza; “Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu ! Ni nani hao jamaa zako wa karibu ambao mapenzi kwao imefanywa wajibu juu yetu?” Bwana...

IMAM HUSEIN NA SIKU YA ASHURA

Mwezi wa Muharram ndio mwezi wa kwanza katika kalenda ya Kiislam. Tarehe 10 ya Muharram mwaka huu itaangukia tarehe 6 Desemba, 2011 kulingana na mwaka 1433 wa kalenda ya Kiislam. Siku hii inajulikana kwa Waislam kama Siku ya Ashura....

Roho Ya Karbala Matengenezo Ya Ummah Leo

Ili tuweze kuielewa roho ya Karbala, hatuna budi kuielewa Karbala yenyewe ni nini, na duri yake katika historia. Karbala ni jina la mahali katika Iraq. Mahali hapo palitokea mapambano makali sana baina ya ma­kundi mawili ya...

Mauaji Ya Kikatili Ya Watu Wa Nyumba Ya Mtume

Ilikuwa Jumatano, siku ya kumi, (Ashura) ya mwezi wa kwanza wa Muharram kwa kalenda ya kiislamu katika mwaka wa 61 B.H. (13th October 680 A.D) Husayn alipomwambia mwanawe wa pili Ali Akbar, kuadhin minajili ya sala ya Alfajri ili kuwakum­busha...

Wasia wa Mtume (s.a.w.w)

KISA CHA UANDISHI WA BARUA (WASIA WA MTUME MUHAMMAD (S.A.W.W)Ufafanuzi wa kisa hicho ni kama ifuatavyo: (Pindi Mtume alipofikiwa na kipindi cha kuiaga dunia (kukata roho) –Ihtidhaar- na nyumbani kwake kukiwa na watu kadhaa miongoni mwao akiwemo...

1 2 3 4 5 6 7 8 9