Maandiko
Historia ya Abbas bin Ali (AS)
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni katika makala hii maalumu ambayo tumekuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Abul Fadhlil Abbas, mwana wa Imam Ali AS na ambaye alikuwa jemedari shujaa na...
Mkesha Wa Mwezi 10 Muharam
Lengo kuu la msingi alilolitamani sana Husein ambalo kwalo aliomba kusimamishwa mapigano kwa muda, lilikuwa kumwezesha yeye na sahaba zake kuutumia usiku huo wa mwisho wa uhai wao katika Sala na du’a kwa Mwenyezi Mungu, kusoma Qur’ani Tukufu na...
Mguso wa nyoyo katika maombolezo ya Husain
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Karibuni wasikilizaji wapenzi katika makala hii maalumu tuliyokuandalieni kwa mnasaba wa mwezi mtukufu wa Muharram. Makala yetu imebeba kichwa cha maneno kisemacho,...
Pamoja na Imam Hussein AS kutoka Madina hadi Karbala
Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji warahmatullahi wabarakatuh. Karibuni kusikiliza sehemu hii ya 4 ya mfululizo wa kipindi hiki maalumu cha Muharram, kinachokujieni chini ya anuani ya "Pamoja na Imam Hussein (AS) kutoka Madina hadi...
Safari Ya Husein Kwenda Karbala Na Vituo Vyake
Taarifa katika siku hizo za kale na njia za mawasiliano zilikwenda pole pole sana kiasi cha kuwafanya watu wa Makkah kutoyasikia mabadiliko ya msingi ambayo yalikuwa yameathiri mpango wa kisiasa mjini Kufa na kifo cha kishahidi cha Muslim...
MAPAMBANO DHIDI YA ASKARI WA IBN ZIYAD
Baada ya Imam Husein kuamua kutua hapo Kar-bala miongoni mwa wafuasi wake waliokuwa bora na wanaombatana naye mara kwa mara ni Bwana Nafii bin Hilal Al-Jamali. Bwana huyu alikuwa hodari sana wa kupanga mbinu za mapambano ya vita...
MSIMAMO WA AHLUL BAYT (A)
Maimamu wa Ahlul Bayt (a) walipinga njama hizi khabithi za kibani Umayya na mbinu zao za kishetani na walisimama kidete kwa nguvu zote walizokuwa nazo, kupambana na vimbi hili hatari na bida’ mbaya kabisa. Maimamu wa Ahlul Bayt (a) walitangaza kwa...
UONGO NA MISIMAMO
UONGO KUHUSU KUONGEZEKA RIZIKI NA KUPAKA WANJA SIKU YA ASHURA Hadithi nyingi za uongo zilizushwa na kunasibishwa na Mtakasifu Mtume (s) kuhusu fadhila ya siku ya Ashura. Hadithi hizo kiini chake ni: fadhila kwa kuwafanyia familia yako karamu...
Funga ya Karbala ilifaradhishwa
Baadhi ya riwaya katika vitabu vya hadithi vya Ki-Shia zinaonyesha kwamba kabla ya kuteremka aya ya funga ya Ramadhani, funga ya Ashura ilikuwa wajib. Mafaqihi wa ki-Shia walitosheka na kunakili riwaya na hitilafu bila kutoa rai maalum ila...
ZIARA YA IMAM HUSAYN (A)
Taratibu ya kumzuru Imam Husayn (a) iliasisiwa na Watu wa Nyumba ya Mtume (s) waliohudhuria mauaji ya siku ya Ashura – yaani dada zake Sayyidna Husayn (a), Sayyidna Ali Zaynul-Abidin (a) na wengine… na baadae kutiliwa mkazo na maimamu wa Ahlul...