Change Language: English

Maandiko

Waislamu wapya na wasiokuwa Waislamu katika matembezi ya Arubaini (3)

Matembezi ya Siku ya Arbaini ambayo hufanyika kwa nia ya kumzuru Imam Hussein (as) na ambayo hutimia katika siku ya arubaini tokea auawe shahidi mtukufu huyo, ndiyo matembezi makubwa zaidi ya binadamu duniani, jambo ambalo wanalikiri marafiki na...

Arubaini, Safari ya Nyoyo za Maashiki (1)

Kwa kawaida safari ya kutembea kwa miguu kutoka mji wa Najaf al Ashraf kuelea Karbala inayofanywa kila mwaka na maashiki na wapenzi wa mjukuu wa Mtume (saw), Imam Hussein (as) huambatana na vuguvugu na msisimko wa aina yake. Mwanzoni mwa safari...

Arubaini, Kuenea Utamaduni wa Ashura

Assalaamu alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi tena katika sehemu nyingine ya mfululizo wa makala hizi zinazokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib as. Ni matumaini yangu kuwa...

Mamilioni ya Waislamu waadhimisha Arubaini ya Imam Hussein as Karbala Iraq

Mamilioni ya Waislamu kutoka pembe mbalimbali za dunia leo wameshiriki katika shughuli ya Siku ya Arubaini ya Imam Hussein (as) katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq. Maadhimisho hayo ambayo hukumbusha siku ya arubaini baada ya kuuawa...

Uislamu Na Majeshi Ya Kuzuia Mapambano

Sheria, matendo na desturi za Uislamu, kwa ufupi, mfumo wake wa kijamii, ulianzisha wakati wa uhai wa Mtume. Kwa kusababisha mabadiliko haya makubwa, ilimbidi avumilie machungu mazito sana mateso na matatizo makubwa kwake yeye mwenyewe na...

Bani Hashim Na Bani Umayyah

Habari zinaeleza kwamba wakati Hashim na Abd Shams, baba wa Umayyah walipozaliwa kama mapacha, kidole cha mmoja wao kilikutwa kimenasa kwenye paji la uso la mwingine. Kilikatwa ili kuwatenganisha vichanga hao, na damu ambayo ilitiririka kutoka...

Mababu (Wahenga) Watukufu Wa Husein

Ibrahim anachukua nafasi ya pande zote, akiwa anatukuzwa na Mayahudi, Wakristo na Waislam sawasawa. Qur’ani inaonyesha kabisa kwamba Mtume wa Uislamu alidai kuifuata dini (imani) ya Ibrahim ambaye aliwaita wafuasi wake Waislam 1 . Ahadith nyingi...

Walimwengu wamfanye Imam Hussein AS kuwa kigezo chao katika kupambana na ubeberu

Ayatullah Muhammad Ali Movahedi-Kermani amesema hayo mbele ya hadhara kubwa ya waumini waliohudhuria ibada ya Sala ya Ijumaa mjini Tehran ambapo mbali na kutoa mkono wa pole na tanzia kwa mnasaba wa kuwadia kumbukumbu ya kuuawa shahidi mjukuu wa...

Waislamu duniani wakumbuka kuuawa Shahidi Imam Hussein AS

Tukio hilo lolojiri siku kama ya leo miaka 1377 iliyopita kulingana na kalenda ya Hijria Qamaria, ambapo moja kati ya vita mashuhuri katika historia ya Kiislamu na ya mwanadamu, vilitokea baina ya majeshi ya haki na batili katika ardhi ya Karbala...

Usimamizi mzuri wa Iraq katika kumbukumbu ya Ashura ya Imam Hussein AS

Pamoja na kuwepo makundi hatari ya kigaidi katika maeneo mbali mbali, maombolezo ya kuuawa shahidi Imam Hussein AS na wafuasi wake watiifu, yalifanyika kwa mafanikio na usalama kamili nchini Iraq katika mji wa Karbala na kuhudhuriwa na mamilioni...

1 2 3 4 5 6 7 8 9