Change Language: English

Maandiko

Mawaidha ya Muharram na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania (3)

Tukiwa ndio tunaingia tena kwenye mwezi mtukufu wa Muharram, hapa tumekuwekeeni mfululizo wa mawaidha maalumu ya Muharram kama yanavyotolewa na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania, hii ikiwa ni sehemu ya tatu ya...

Mawaidha ya Muharram na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania (2)

Tukiwa ndio tunaingia tena kwenye mwezi mtukufu wa Muharram, hapa tumekuwekeeni mfululizo wa mawaidha maalumu ya Muharram kama yanavyotolewa na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania, hii ikiwa ni sehemu ya pili ya...

Mawaidha ya Muharram na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania (1)

Tukiwa ndio tunaingia tena kwenye mwezi mtukufu wa Muharram, hapa tumekuwekeeni mfululizo wa mawaidha maalumu ya Muharram kama yanavyotolewa na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania, hii ikiwa ni sehemu ya kwanza ya...

Mshauri wa mufti wa Misri: Imam Hussein AS aliuawa na watu waliokuwa na fikra za kitakfiri

Mshauri wa Mufti wa Misri, Majd Ashur amesema kuwa, Imam Huseein AS, mjukuu wa Mtume Muhammad SAW aliuliwa shahidi na watu waliokuwa na fikra za kigaidi na kitakfiri. Ashur ambaye pia ni katibu wa fatwa katika ofisi ya Darul-Fatwa ya nchi hiyo,...

Mafundisho ya Imam Hussein AS (3)

Miongoni mwa sifa bora na za kuvutia za mwanadamu ni sifa ya ukarimu na kutenda wema. Katika utamaduni wa Qur'ani Tukufu ukarimu na mtu kutoa alichonacho kwa wasiojiweza, hisani na kusaidia waliodhulumiwa na kukandamizwa ni kielelezo cha...

Mafundisho ya Imam Hussein AS (2)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Mpenzi msikilizaji tunaendelea kukuleteeni mfululizo wa makala hizi za Mafundisho ya Imam Husain AS ambao ni maalumu kwa ajili ya mwezi huu mtukufu wa Muharram kwa ajili ya kuzungumzia mapambano ya Imam Husain AS...

Mafundisho ya Imam Hussein AS (1)

Daima kumekuwepo na swali hili kwamba je, ni nini hasa lengo la mapambano ya Imam Hussein (as)? Je, lengo lake lilikuwa ni kuchukua utawala au lilikuwa ni kuleta mabadiliko na marekebisho kwenye jamii ya Kiislamu? Je, Imam (as) hangeweza kutumia...

Yazid Ni Nani?

"Sisi tu watumwa wa Yazid na ni kwake yeye kutu­weka huru au kutuuza kwenye soko." Watu wa Madina walilazimishwa kuyasema maneno haya kama ishara ya kumkubali Yazid bin Muawiya ambaye alitawala dola ya Kiislamu toka mwaka wa 680 mpaka 683...

Kufunga Saumu Siku Ya Ashura

Baadhi ya Ahadith zinapatikana katika vitabu vya Ahl as-Sunnah kwamba Mtume Muhammad Mustafa s.a.w.w. alipofanya Hijrah kwenda Madina aliwaona Mayahudi wakifunga saumu siku ya Ashura, tarehe 10 ya mwezi mtukufu Muharram. Mtume Muhammad...

Mwezi mtukufu wa Muharram

Muharram ni mwezi wa kwanza (mwandamo) wa kalenda ya Kiislamu. Mwenyezi Mungu, anasema: “Idadi ya Miezi mbele ya Mwenyezi Mungu ni kumi na miwili kwa ilimu ya Mwenyezi Mungu siku Alipoumba mbingu na ardhi. Katika hiyo...

1 2 3 4 5 6 7 8 9