Maandiko
Tukio la Mubahala
Kabla hatujaingia ndani kuzungumzia suala la Mubahala, kwanza ni vizuri tufahamishe maana ya Mubahala. Muhabala ni: Kuapizana. Ujumbe wa Kikristo kutoka Najran ulifika kwa Mtume kujadili suala la Nabii Isa (a.s.). Mtume aliwajulisha...
Dondoo Kutoka Katika Riwaya ya Imam Husein (as) na Sira Yake:
Watu wengi wanamjua Husein (as) kwamba ni mwenye kudhulumiwa na wanajua mateso na machungu ambayo aliyabeba, nayo ni makubwa na ni muhimu. Lakini sisi ni wajibu tujue vilevile kuhusu mafunzo ya Imam Husein (as) na mfumo wake katika upande wa...
Hali Gani hii ya Kutokuendelea?
Hujitokeza hali ya ikhitilafu ya wazi upande wa kimadhehebu, na kati ya matukio ya mwisho ni mkutano wa Doha wa kuleta ukuruba baina ya madhehebu za Kiislamu, pamoja kwamba mkutano ni wa kuleta ukuruba, lakini tumekuta hali ya kutoelewana...
Tatizo la Majadiliano Katika Jamii ya Kiislamu:
Sisi tunaona katika zama hizi kwamba jamii zilizoendelea zimekata masafa ya ukomavu katika muamala wake wa ndani pamoja na matatizo yake ya kifikira, kisiasa na katika maslahi mablimbali, wao wanahitalafiana lakini wanajadiliana na...
Maadhimisho ya Maulidi ya Mtume Muhammad SAAW - Wiki ya Umoja
Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa Wiki ya Umoja ambacho ni kipindi cha kati ya tarehe 12 na 17 za Mfunguo Sita Rabiu Awwal kipindi ambacho kinasadifiana na...
Husein na Mapambano ya Amani:
Imam Husein (as) alipojua jambo hilo alifanya harakati za kuelimishaumma ili ubebe jukumu lake, alitangaza harakati zake za amani za mabadiliko bila ya kutumia silaha na akasema neno lake mashuhuri ambalo linabainisha sababu ya kutoka kwake:...
HOTUBA YA AL-USTADH SHEIKH ABDULLAH IBN SALEH AL-FARSI ALIYOITOA KWENYE HAFLA YA KUKUMBUKA MAUAJI YA IMAM HUSAIN BIN ALI (A.S) – ZANZIBAR 1361 A.H 1942 A.D
Enyi wageni waheshimiwa na nyote mliohudhuria. Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye kurehemu. Sifa zote njema anastahiki kusifiwa Mwenyezi Mungu Mola wa walimwengu. Kisha sala na salamu zimshukie mbora wa Mitume na...
Imam Husein Alishikamana na Amani Katika Mapambano Yake:
Kwa nini Imam Husein (as) alifanya harakati? Je, katika mapambano yake alikhalifu mfumo wa amani? Hakika Imam Husein (as) amefanya harakati kwa ajili ya kuhifadhi umma na kulinda maslahi yake, na aliona kwamba utawala wa Ban Ummayya...
Utamaduni wa Zama za Kimada:
Na kinachosikitisha ni kwamba binadamu leo hii wanaishi katika kivuli cha utamaduni unaozalisha ubabe na kulea ukatili, utamaduni huu wa kimaada ambao unatilia mkazo ubinafsi na kuchochea matamanio ya mwanadamuna raghba zake, na unaandaa...
Imam Husein na tabia tukufu za Uislamu
Maamkizi ya Uislamu: Na kwa kuwa Uislamu unahimiza mwanadamu kuishi katika mazingira ya utamaduni wa amani na salama, kwa ajili hiyo umeweka sharia ya kuanza kuamkia kwa salamu: Asalam alaykum. Imepokewa kutoka kwa Mtume wa Mwenyezi...