Change Language: English

Maandiko

Chemchem Ya Uhuru Imamu Husain Sayyid ash-Shuhada [a] Shukrani

Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha ya Urdu na Mtukufu Sayyadul Ulama Maulana Sayyid Ali Naqi Saheb, Mujtahid wa huo Kikuu cha Lucknow, Uhindi. Kimetafsiriwa kwa Lugha ya Kiingereza na Sayyid Hashim Raza Rizvi, B.A., B.T.,...

Kwa nini Imam Husein (as) alisimama dhidi ya uongozi wa zama zake?

Tungetaka kuchukuwa fursa hii kujaribu kutazama katika baadhi ya maswali ambayo watu wengi hujiuliza kuhusu tukio la Karbala na hususanmsimamo wa Imam Hussein(as) kuhusu hali ilivyokuwa wakati huo mpaka ikambidi achukuwe msimamo aliyouchukuwa....

Bustani ya Uongofu

Hapana shaka kuwa mtaweza kunufaika vya kutosha na mfululizo huu kwani Mtume SAW, dhuria na watu watoharifu wa nyumba yake ni bustani iliyojaa manukato ya maarifa yasiyo na kifani; na bila shaka kuvuta pumzi katika bustani hii humfanya...

Pamoja na Imam Hussein AS kutoka Madina hadi Karbala (1)

Mwezi wa Muharram unatukumbusha mapambano ya Karbala ambayo Imam Hussein (as) alikuwa mbeba bendera wake, mapambano ambayo yameacha athari kubwa katika historia ya mwanadamu. Huenda wewe pia ndugu msikilizaji ukawa unajiuliza swali hili...

Imam Hussein AS, dhihirisho la ukweli na uhakika

Imam Husein katika mtazamo wa wanajamii: Imam Hussein AS ambaye ni mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW. Imam Hussein ni dhihirisho kubwa la ukweli na hakika ambaye nuru ya mwongozo wake inaangaza njia ya vizazi vyote vya mwanadamu. Ni safina ya...

Mtazamo wa Imam Hussein na Nabii Issa (a.s)

Haki na Uadilifu katika Mtazamo wa Imam Hussein na Nabii Issa Masiih (as) Tarehe 25 Disemba inasadifiana na siku ya kuzaliwa Nabii Issa Masiih amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake. Kuzaliwa kwa mtukufu huyu kulihuisha moyo wa udugu, imani,...

Dhihirisho la mapenzi na ibada ya Mwenyezi Mungu

Katika suala zima la mapambano ya Husain bin Ali AS dhidi ya dhulma na ukandamizaji, Ashura ni mithili ya jabali kubwa ambalo limeenea na kufunika nyika zote. Mapambano ya Imam Husain AS ni utamaduni ambao chimbuko lake ni Uislamu asili....

​ Husain (as) anapinga Kiapo cha utii:

Yazid akamwandikia gavana wa Bani Umayya katika mji wa Madina, Walid bin Utba bin Abi Sufian akimtaka kuchukua kiapo cha utii kwa nguvu kutoka kwa masahaba wakubwa na miongoni mwao ni Imam Husain (as). Usiku wa manane Husain (as)...

Imam Husein na Tabia Yake Njema:

Imam Husain (as) katika maisha yake na nyendo zake alikuwa anafuata maadili ya Uislamu na tabia njema za Mtume (saww), na wanahistoria wengi wametaja misimamo yake na sehemu ambazo zinaakisi picha, sifa na tabia yake njema, hapa tunataja...

MWANGAZA KUTOKA KATIKA MAISHA YA IMAM HUSAIN (AS)

Tarehe tano ya mwezi wa Shabani katika mwaka wa nne Hijiriailichomozanuru ya Husain (as) katika nyumba tukufu ya Ali (as). Kupewa kwake jina: Babu yake, Mtume wa Mwenyezi Mungu (saww) alimpa jina Husain (as) kama alivyompa...

1 2 3 4 5 6 7 8 9