Change Language: English

Mawaidha ya Muharram na Sheikh Khamis Awadh wa Tanga Tanzania


Tukiwa ndio tunaingia tena kwenye mwezi mtukufu wa Muharram, hapa tumekuandalieni mawaidha maalumu ya mwezi huo mtukufu kutoka kwa Sheikh Khamis Awadh Mussa wa Hawza ya al Qaim ya mkoani Tanga Tanzania, tukiwa na matumaini mtanufaika vya kutosha na mawaidha yake.