Mawaidha ya Muharram na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania (5)
Tukiwa ndio tunaingia tena kwenye mwezi mtukufu wa Muharram, hapa tumekuwekeeni mfululizo wa mawaidha maalumu ya Muharram kama yanavyotolewa na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania, hii ikiwa ni sehemu ya tano ya mawaidha hayo.